Recent content by Saint_Mwakyoma

  1. Saint_Mwakyoma

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Nimeweza acces bila VPN au bado IT wao anaejua kazi yupo OFF
  2. Saint_Mwakyoma

    Mwanamke akikuweka Mkao huu, Jua umekwisha🤣🤣

    Nishawai sikiaga hii huko zamani ila siamini huu uswahili
  3. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Namba tatu unanionea
  4. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Nielekezeni mm ndio huwa nafanya straight out loud
  5. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Mimi nina aminigi ukweli humuweka mtu huru ndio maana nawaambiaga straight forward ....kwaio iyo sio nzuri kabisa i was wrong kiukweli
  6. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Bangida thanks man....huwa namwambia mtu ukweli kuhusu mimi nakama yupo tayari kuwa mama watoto wangu maana nipo nje ya muda lakini wanakataa mala zote
  7. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    📌kinachonishangaza wanawake wote wanaokuja kwenye maisha yangu wanakujaga kipindi mahusiano yao yakiwa dhaifu lakini ninapoamua kuwatongoza tu ndio wanaponikataa kidiplomasia kwakweli nimechoka kukataliwa
  8. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Kaka ninavyojiona bustani ipo lakini najiuliza kwanini vipepeo hawaji
  9. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Asante kwa matumaini ....ila nitajaribu kutongoza wasio na demand ila sifa zote hizo ninazo mkuu
  10. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Unanishauri nianze kununua mapenzi labda nitafanikiwa
  11. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Ukisema pesa i earn twice or more kuliko ninao waapproach
  12. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Kaka muonekano nimebadili kabisa haswa kwenye nyele zipo low cut napunguza pembeni tena kwa namba
  13. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Hapo kwenye ufupi ndio sababu nayopewaga wakinikataa mala zote
  14. Saint_Mwakyoma

    Love story of short broke black man

    Asante kwa madini napokea ushauri kwakweli
Back
Top Bottom