Wanananchi wameombwa kujiunga na huduma za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kwa kuwa ndio suluhisho katika upatikanaji wa huduma za matibabu nchini.
Mbali na hilo, umma umehakikishiwa kuwa NHIF iko imara na inaendelea kujiimarisha ili kufanikisha lengo la kutoa huduma bora kwa wanachama...
Taarifa kama hii haina tija kwa jamii, Kwa mageuzi haya ya Shirika la Posta hata uwe na 0.000001gm ya Dawa Za Kulevya hupenyi popote pale!!!!
Tuache kuzua taharuki zisizo na msingi kwa shirika linalifanya vizuri kama Posta, taarifa ya 2018 almost 5years now na wahusika walishachukuliwa hatua...
Hongera Waziri Ummy kwa hili, suala la madaktari kupunguza ufanisi wa Kazi hamkuwahi kulisema wakati wanakwenda katika Private zao baada ya kazi mmekuja kuliona hapa leo 😅😅😅😅😅😅😅 Tamko la hovyo kabisa kuwahi kutokea. Hiv kuzurula mtaani kutafuta vijiwe na kubaki palepale na kumaliza shughuli zako...
Hongera Waziri Ummy! Hili suala likiwekewa utaratibu mzuri hakika litakua ni tamko lenye Tija sana katika Sekta ya Afya hasa katika Hospitali zetu hizi za Umma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.