Recent content by saimon rusana

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

    Hakuna cha kuhifadhi, ninyi mlikosea kuoa poleni sana na mungu awatangulie
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

    Mkuu kamaa ulikutana na shetwain pole, sisi wengine tunajuta ni kwa nini hatuku oa mapema
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    Asante kwa maoni yako
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    Aisee hatari sana
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    Na mimi nimekaza
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    Habari za jioni mabibi na mabwana natumaini hamjambo nyoote, Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk. Mimi ni kijana wa miaka 28 katika kutafuta maisha kwangu nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na uzinzi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Naona leo mmetukalia waha kooni. Acha tuzaane bwana kwani mna tusaidia kutunza? Alafu hilo lakusema waha tuna ukimbia mkoa mbona liko kimchongo? Watu tunasaka fulsa. na si ajabu mleta mada ni msukuma na yuko dar
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama cha kataa ndoa kidumu

    wanao tangaza ndoa mnani shangaza
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama cha kataa ndoa kidumu

    vijana pigeni chapa ilale
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama cha kataa ndoa kidumu

    faida za kudhalilishana ? chaputa kidum
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama cha kataa ndoa kidumu

    Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni. Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

    sasa mbona unaleta shobo kwani ww ni demu?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

    halafu nasikia wanaume wa huko wana magovi ni kweli?
  14. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NIDA wanatoa vitambulisho kwa madereva wa kigeni kwa lengo la kuwasadia wapate pasipoti za Tanzania; kitambulisho kimoja kinalipiwa hadi milioni moja

    upuuzi mtupu na kumbuka mwaka jana nilifika office za Nida nikiwa na vielelezo kasoro cheti chakumaliza darasa la saba, wakauliza kiko wapi nikawapa maelezo kwamba toka nilivyo maliza shule ya msingi siku fuatiliaga coz niliondokaga mikoani kujitafuta. walinikatalia eti mpaka niwe nacho...
Back
Top Bottom