Recent content by saimasebo

  1. saimasebo

    JamiiForums Tanzania Bei ya injini ya mpya pikipiki fekon, kinglion au sanlg

    Jamani naomba kuuliza Bei ya injini mpya ya pikipiki fekon, kinglion au sanlg
  2. saimasebo

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji mpya au used?

    Used itanilipa? Coz nataka nianze na used ya around 5M
  3. saimasebo

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji mpya au used?

    Used itanilipa? Coz nataka nianze na used ya around 5M
  4. saimasebo

    JamiiForums Tanzania Ninunue bajaji mpya au used?

    Jaman habarini Kwa wazoefu wa bajaji naomba kujua jambo hili... Nimejikusanya pesa kama million tano nahitaji kununua bajaji TVS King used. Je, nikiwa dereva mwenyewe, itaweza kunipa faida hata ikatimia pesa ya kununua bajaji mpya? Je hazina usumbufu wowote mbaya.. Naomba kujuzwa tafadhali
Back
Top Bottom