Wasira hajakataa deni alichosema kwamujibu wa gazeti la mwananchi ni kwamba alikwisha lipa deni lote kupitia tib bank. Benki hiyo inamdai licha ya kuwepo na vielelezo vya kuonyesha Amelipa. Katika maelezo yake hakumtaja rais Magufuli popote. Kama ni kweli Amelipa , ni kwa nini alazimishwe...
Dr Bashiru Ally alipoteuliwa alisema kazi yake kubwa itakuwa kuleta umoja ndani ya ccm. Tatizo ni kutofautisha kati ya kusema na kutenda. Sasa badala ya kukiunganishachama na yeye ameamua kukigawa. Inawezekana kazi ya kukiunganisha ni ngumu kuliko kukigawa. Hiyo ndiyo sababu ameingia 18 za...
Chama cha mapinduzi kinajiingiza katika migogoro isiyokuwa na musingi. Rostam akiwa mshikaji wa Lowassa ndio waliohusika kukigawa chama 2015. Tangu hapo ushawishi wao umeshuka sana licha ya utajiri wao. Hivyo kumtumia Rostam kuanzisha mjadala kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama 2020 ni sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.