Recent content by Saikim

  1. S

    JamiiForums Tanzania MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

    Huyo mwanamke wako ni mjinga bado hajapata elimu sahihi. Mambo anayoyajua yanamchanga.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, kanumba kambaka lulu? Umri wake chini ya miaka 18?

    Kweli, mimi sijaona sababu ya viongozi na wengine kwenda kujazana msibani wakati wawakilishi wapo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je! Elimu yetu inajitosheleza!

    Serikali yetu inajitahidi kuboresha elimu lakini bado haijaweza kumudu mahitaji ya watanzania ambao wanahitaji kusoma hivyo haina budi kuweka mipango ya baadae ya kimaendeleo kabla mambo hajakuwa magumu zaidi.
Back
Top Bottom