MAOMBI YA KAZI/AJIRA/KIBARUA.
halizenu .
Kwamajina naitwa saiid omari ngulupi nimkazi wa chamzi. nina miaaka 25 nina uzoefu wa udeleva miaaka 3 galy ambazo nina uzoefu nazo .plaivety ya aina yeyote yani gali ndogo
Pia gal I za mizigo kuanzia tani 1 hadi 20
Pia ninzuzofu wa ufundi magali...
Kwajina naitwa Saiid Omaly Ngulupy
Nina uzoefu wa udereva wa miaaka minne .nimkazi wa chamzi .ninauzoefu wa gari zifuatazo garindogo ya aina yeyote .na kinzia tani moja ady 20 kwa gari za mizigo
Pia nina uzoefu wa ufundi miaaka mitano .mwaka moja kati ya iyoo nilisomeaa ufundi katika chuoo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.