Recent content by Saiga yane

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nikikaa miguu yangu inavimba, dawa yake ni nini?

    asante kwa ushauri wako. sina unene mwili wangu ni wa kawaida tu nina 60kg na 27years,nitaenda kupima
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nikikaa miguu yangu inavimba, dawa yake ni nini?

    Nisaidieni dawa ya kuvimba miguu, nasumbuliwaga sana na tatizo hili nyakati za mchana tu ila nikiamka asubuhi huwa niko sawa ila kadri siku inavyokwenda ndivyo inavyozidi kuvimba, mimi huwa nakaa nainyoonsha mezani au kwenye kiti na hurudia hali yake ya kawaida.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanaitwaje hawa kuku kwa Kiswahili?

    Heshima kwenu, 1: Wale kuku unaokuta hawana manyoya shingoni (necked neck) 2: Wale kuku ambo unaona kama manyoya yao yako upside down
Back
Top Bottom