Recent content by saidsaid217

  1. saidsaid217

    Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

    https://www.facebook.com/saidsaid81/posts/896423097112273:7
  2. saidsaid217

    Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

    Ila kwenye hili la siasa ana uhuru wake kama mtanzania mwengine. Kama anavofanya kikwete kwenda kwwnye mikutano ya ccm bila ya kujali uraisi wake kama ni kiongoz wa watanzania wote.
  3. saidsaid217

    Mh. John Magufuli asababisha Kimbunga uwanja wa Jamhuri Morogoro Mjini

    Hivi makamba ni msambaa?! Au hamijasikia alivokua anaongea??!
  4. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Baadhi ya wabunge wametoka ukumbini wakiongozwa na pr. lipumba..
  5. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Mchangiaji anamaliza muda wake, ila anachokisema ni kua hakuna haja tena ya kung'ang'ania serikali 2/3 ila tutafute njia bora ya maridhiano kwa sasa ili wananchi wapate katiba yao mzur..
  6. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    "Hakuna sababu ya kua na uwoga ya kujadili matatizo tulionayo" Mchangiaji anaendelea..
  7. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Chiligati ameshauona ukweli kwamba hali mbaya na uwezekano wa kupitisha serikali 2 haiwezekani, sasa anachokifanya ni kuwalainisha wazanzibar kuwaonesha haki zao na kuwarudishia ili waunge mkono serikali2!
  8. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Haya twambien wakuu, hii hati imekosolewaje? Maana nimepata udhuru siko kwenye tv!
  9. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Sasaiv utaona mbowe anagongewa muda umeisha, sijui kwa nin?!!
  10. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Ngoja nifanye yangu kwanza, naona hakieleweki! Nisubir nondo za wachache...
  11. saidsaid217

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Yan saiz bunge halina mvuto, hoyo jamaaa kakaa kama Dr. KISANGIRI alivokua akitoa lecture darasan, watu wote walikua wanalala... Kwa walio soma DIT, 09
Back
Top Bottom