Recent content by SaidiSekuru

  1. S

    Ukimya wa Lowassa unaitesa CCM na UKAWA

    Kwa wana CCM wameshayazoea haya,cos yalitokea 1995 kwa Mrema yakaisha,yakaja kutokea 2005 kwa Lipumba Pia yakaisha,n? sasa kwa Mamvi nayo yatakwisha,kama kuku vile keshachinjwa sasa anapaparika tu,n? wanajipanga 2025 n? sio 2020 najua itakuwa ni mteremko kwa kwenda mbele,hatutishiki n? Ukimya...
  2. S

    Elimu ya bure kuanzia january 2016

    JPM Mimi namkubali sana,watu wanadhani majungu yanajenga! wanasahau kama hakuna kinachoshindikana chini y? jua,sio elimu tu,hata kumlipa mshahara kila mtanzania Pia inawezekana ni kujipanga tu n? kumtia moyo kiongozi wetu.
Back
Top Bottom