Non sense..hii haiwezekanai kama yeye kaamua ujue kaishawaza chagamoto ndogo ndogo kama hizi..kwa hiyo haitakuwa shida kwake maana alishachunguza challenge
Pole sana kaka .wadada wengi huwa hawaishi uhalisia wao wanafake iliwapate wanachoona kizuri ila sio cha kunipa heshima huwa n watoto wadg siku zote yan tuishi nao kwa akili na kuwasihii kila siku huwa wanabadilika.
Ni sawa.ila huwa kwa kila mwanadamu huwa kuna roho ya kusita kutenda jambo fulani lisilo jema ila huwa tunapuuzia kuwa liwalo na liwe ambapo huwa tunakosea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.