Matunda ya miaka hamsin ni matunda gani hayo embe boribo au, matango pori! Kimsing matunda nI
Ni usemi tu kama unavyoweza kusema nyumba nzuri niliyojenga ni matunda ya. Kazi ninayo famya. LKin nyumba siyo matunda kama ma pera au machungwa siku moja ukatengeneza juice. Na badala yake huo mfano...
Hilo kaka unalo. Very badly umeintertain mwenyewe. Pia sina hakika kama ushauri unao omba ni wa thati toka moyon.kwani tabia ya cha kuiba ni kitamu. Kama uko Serious utaweza. Hakuna kinachoshindikana.na badala yake inaonesha unampa moyo. Hebu achana na mke wa mtu. Wakat mnakutana mbona hujataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.