Recent content by Saidi Tuesday

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kupangiwa vyuo kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne 2019.

    Kukomfirm ni jambo la msingi sana ila kwa wale walio pangiwa vyuo ambavyo sio chaguo lao ndo inabidi wa apply kutafuta nafasi ya kwenda kusomea wanacho kitaka.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kupangiwa vyuo kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne 2019.

    Masiya sidhani kama litakuwepo maana kuna baadhi ya vyuo joining instructions zimesha toka kama IFM&TIA sijaona kipengele kinacho zungumzia kuhusu wanafunzi walio chaguliwa na serikali kwenda kusoma katika hivyo vyuo,ada walizo andika ni zilezile tuu za siku zote.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kupangiwa vyuo kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne 2019.

    Anhaa sawa kwahiyo kama mtu hajapenda kusoma hiyo course hata weza ku apply kwenda chuo kingine
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kupangiwa vyuo kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne 2019.

    Naomba kuuliza kuhusu wanafunzi walio pangiwa kwenda vyuo kwa mwaka huu,nahisi wengi wao wamepangiwa kwenda kusoma course ambazo hawaja panga kusomea katika maisha yao wengine wanaweza wakawa na nia ya kusomea uhasibu na kwenda kutupiwa katika chuo cha ualimu wa shule za msingi. Swali langu ni...
Back
Top Bottom