French siijui lakini naamini haitakuwa kikwazo kwangu ispokuwa nataka kufahamu kuhusu ghalama za maisha katika huo mji wa Montreal maana Toronto inaonekana ni expensive sana kuendesha mambo
Hao wamekuja Tanzania kufanya utalii maana kiutafutaji hauwezi kuifananisha Tanzania na mataifa hayo makubwa ya marekani na Canada alaf tena wamekwambia wanafanya biashara ya kawaida kimsingi hayo mataifa katika ngazi ya maendeleo yoyote ya kidunia yapo class A kwaiyo mtu wa mataifa hayo hawezi...
Jemedar saidi na wenzake mbona haukuwataja km na wao hawana weledi kwenye kazi yao maana wao kila siku wana deal na mambo ya yanga tu tena yenye lengo baya?
Siku aliyo tambulishwa Mudathir Yahaya baadhi ya mashabiki wengi wa Yanga waliokusoa uongozi kuwa wamesajili galasa, hali ya kuwa wengi hawakujuwa uwezo halisi wa uyo mchezaji.
Sasa je, katika izi mechi mbili za Mapinduzi alizocheza kwa tulivyoona uwezo wake kuna mwananchi yoyote mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.