Recent content by Saidi bushiri love

  1. Saidi bushiri love

    EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    Tatizo sio diamond kuanzishwa wavuti ya kuuza kazi za wasanii. Kwani mwanzo wasanii walikuwa wanauza kupitia nn..!!? {Mkito.com....etc}
  2. Saidi bushiri love

    EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    Saijui ila nimezungumza kiujumla. Kama ingekuwa kweli alichokisema, basi asingepata Fulsa kutambulisha nyimbo TV kuwa.
  3. Saidi bushiri love

    EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    Uwepo WA TV na Radio ndio umewatoa wasanii wengi hususa na yeye pia. Kauli aliotoa kiufupi hailidhishi... Je ulishawahi kuwaza kuwa Radio na TV visinge kuwepo, Wasanii Na Vipaji kiujumla tunge vitambua kwa namna gani. Zaidi Sanaa ingejawa na Ubinafsi usio pingika.
  4. Saidi bushiri love

    Anataka azae nae watoto 3 tu

    MO11: kama anataka watoto AFANYAJE?
  5. Saidi bushiri love

    Anataka azae nae watoto 3 tu

    Ukimzalisha tu apate idadi ya watoto anaotaka, ukurasa wa uhusiano na wewe unafutwa kabisa.
  6. Saidi bushiri love

    Anataka azae nae watoto 3 tu

    Acheni tamaa ya mali, mali zinatafutwa AU siyo
  7. Saidi bushiri love

    Anataka azae nae watoto 3 tu

    Acheni tamaa ya mali, mali zinatafutwa
  8. Saidi bushiri love

    Anataka azae nae watoto 3 tu

    Mbona mnakaa kujadili mambo yakijinga!??
Back
Top Bottom