Recent content by Said Shagembe

  1. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani mfumo wa elimu utaweka uwiano sawa kati ya ongezeko la wanafunzi wa Darasa la Awali na ajira rasmi za walimu wa taaluma hii?

    Ni kweli, lakini huoni kama msingi dhabiti huanzia katika hatua ya Awali ya ukuaji wa mtoto. Nadhani kama tutaweka misingi sahihi hasa katika ngazi hii ya Elimu ya Awali, ni dhahiri kuwa hata Hilo somo la hisabati linaloonekana kuwa changamoto katika shule zetu litakuwa limepata ufumbuzi...
  2. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani mfumo wa elimu utaweka uwiano sawa kati ya ongezeko la wanafunzi wa Darasa la Awali na ajira rasmi za walimu wa taaluma hii?

    Ni kweli, lakini huoni kama msingi dhabiti huanzia katika hatua ya Awali ya ukuaji wa mtoto. Nadhani kama tutaweka misingi sahihi hasa katika ngazi hii ya Elimu ya Awali, ni dhahiri kuwa hata Hilo somo la hisabati linaloonekana kuwa changamoto katika shule zetu litakuwa limepata ufumbuzi.
  3. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani mfumo wa elimu utaweka uwiano sawa kati ya ongezeko la wanafunzi wa Darasa la Awali na ajira rasmi za walimu wa taaluma hii?

    Licha ya serikali na sera ya elimu nchini kusisitiza umuhimu wa mtoto kupitia Darasa la Awali kabla ya kuingia Darasa la Kwanza, pamoja na jitihada za kuboresha miundombinu ya elimu hiyo, bado kuna changamoto kubwa ya ukosefu wa walimu wenye taaluma maalumu ya Elimu ya Awali katika shule nyingi...
  4. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Tuanze
  5. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Hahahaaa! Deni tena
  6. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Safii kabisa
  7. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Hahahaaaa! Hata haijulikani
  8. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Ni ipi hasa sauti ya walimu katika taifa letu? Je, ni sauti inayosikika, inayoheshimiwa, inayotetewa? Au ni sauti iliyozimwa kwa hofu, ukimya, na matumaini hewa? Walimu ndio wanaochonga maisha ya kila kada ya jamii – wanasheria, madaktari, wahandisi, hata viongozi wa kisiasa – wote walipitia...
  9. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kiuchumi

    Tukumbushane na tusisahau kuwa uhuru wa kifedha unaepusha fedheha isiyo ya lazima inayotokana na ukosefu wa fedha. #financialfreedom
  10. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    Lakini unaamini kama wapo watumishi ambao hawazipendi kazi zao ama mahali wanakofanya kazi?
  11. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    Wanawanyonya sana, siyo haki.
  12. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    Ningepewa nafasi ya kuhudumu kama mwajiri ningebadilisha taratibu zote za UTUMISHI wa UMMA kutoka kuwa ajira za kudumu mpaka mkataba wa mwaka mmoja. Naamini hakuna anaependa kutumika maisha yake yote, hivyo wanaochoka nafasi hizo wawaachie wale wanaozitaka. Hii itaongeza chachu ya utendaji...
Back
Top Bottom