Recent content by said duse

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

    0717273084 Niunganishe whatsup groip l scholarship
  2. S

    JamiiForums Tanzania How to install FIFA 14 katika window 8.1 pro

    Watu wameususia huu uzi
  3. S

    JamiiForums Tanzania How to install FIFA 14 katika window 8.1 pro

    Habari zenu wanaJF. Samahanini jamani nilikuwa naomba kueleweshwa jinsi gani naweza ku-install mchezo wa FIFA 14 kwenye PC yangu yenye window 8.1 pro kwan nimejaribu kila njia lakn cjafanikiwa. Msaada kwa mwenye kufahamu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sijaenda chuo kikuu japo nilichaguliwa,naomba msaada kwa hili nitakalolisema,,

    Mbna udom watu bdo wanasajiliwa na kuna watu wapo pale mpka Leo hawajasajiliwa
  5. S

    JamiiForums Tanzania UDOM batch 2/3/4 kwa Degree na diploma hapa

    Ingia kwenye web ya chuo angalia announcement
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Mmi ninchokiona n kwamba kwa kuwa wanafunzi weng was udom ndo tatzo linawakuta hii in kutokana na kwamba chuo bado hakijafunguliwa.. Mkurugenzi alisema watatoa Mikopo kwa kuangalia tarehe za kufunguliwa chuo husika. Nawasilisha
  7. S

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KOZI.

    Kma unahama kozi ya chuo hcho hcho na c muendelezo was hzo juu
  8. S

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KOZI.

    Habari wanajf. Nilikuwa nauliza madhara ya kuhama kozi katika chuo hicho ulichopangiwa na Mikopo inakuaje kama umepata alafu unahamia kozi nyingine je kunakuaga na shida gani
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo kuhusu Health Information System

    Ahsanteni kwa msaada zaid
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo kuhusu Health Information System

    Ok thanks
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo kuhusu Health Information System

    Ok nashukuru kwa mchango wako tutajitahidi tuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo kuhusu Health Information System

    Ooohhh kumbee nashukuru ndugu yngu.. Sasa masters yake kozi hii nachukulia wapi na nabase sehemu gani
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo kuhusu Health Information System

    Iko hiii kozi inashughulika na nni na vipi kuhusu ajira zake kitaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Kma uwezo upo jitose tuu kaka kalipe wew
Back
Top Bottom