Recent content by said chand

  1. S

    Warioba Anataka Nini Hasa?

    Nafikiri huna hata redio chumban kwako na unachofanya kwa sasa ni kutafuta cha kuongea! Kama unaipenda nchi basi ongea interahamwe waache upuuzi na kama kweli wewe una data basi mjibu warioba(Father of Tanganyika) maswali yote aliyouliza interahamwe na wafuasi wao kama wewe
  2. S

    Dr. Salim Ahmed Salim- AFRICA DAY LECTURE in South Africa.

    Tanzania mkweli huonekana muongo na muongo ni mkweli ukitaka kujuwa hilo jaribu kufuatili bunge la bajet lijalo utalijua hili kwa undan zaid
  3. S

    Warioba kuwa makni na kilichofanywa ccm

    Tanzania ina wasanii wengi sana na hao ni pamoja na rais kikwete. eti kamvisha warioba nishan ya utumish bora ndani ya muungano nani kasema? Je kuna siku anga itaungana na ardhi? Warioba anafahamu kuwa ndani ya CCM wanataman hata kusikia mzee warioba amebadilika na kuungana nao! Mbona...
  4. S

    UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

    Huna hoja jaribu baadae ukiweza
  5. S

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Ingekuwa biblia basi tungesema umenena kifupi ni kuwa umeonesha ukweli kama wanaweza basi wajibu kwa hoja na si matusi! Kikwete aache propaganda zake
  6. S

    Kwanini UKAWA wanaonekana kuwa ni muhimu Bunge Maalum la Katiba sasa?

    UKAWA ni muhimu sana kwa vile ni sehem ya bunge la katiba. ni viongoz wenye fikra pevu tena wenye kuiweka nchi mbele na si chama wala matumbo ya kama wanavyofanya wez waliobak bungen na ndo maana wanahs wananch watazjua nyendo zao kweupe. UKAWA KAZENI UZI.
  7. S

    Ukifuatilia matamko ya J. Kikwete ukilinganisha na matendo ya UKAWA utadhani kuna kamchezo

    nahsi chumbani kwako mapicha mengi sana ya mafisad mnaowatukuza kama miungu wenu ila ipo siku mtasaga meno kwa upofu wenu
  8. S

    Ukifuatilia matamko ya J. Kikwete ukilinganisha na matendo ya UKAWA utadhani kuna kamchezo

    Rafki yangu unapoandika think first! sikushangai kwa vile hata wakati Nyerere na wenzake wnadai uhuru wa Tanganyika kuna watu kama wewe walisema kuwa nyerere na kundi lake walikuwa ametumwa na wazungu kuvuruga safari ya ukombozi wa nchi! Ji lazma kuchangia hoja kama huna wazo...
  9. S

    Kikwete acha vitisho dhidi ya Wananchi

    Ndugu zangu wanaJf hiv nyie hotuba ya kikwete ya jana mmeielewa vipi? kikwete amepewa nchi ili atutishe kwa kutumia jeshi letu? n kumbe ule msemo wa kiingereza like father like son hapa kwetu kwa sasa umeshika kas ! Nchi hii lazma ikombolewe na sisi wana wa nchi hii na hii hatajarisha tunatishwa...
  10. S

    Kwa nini watawala wetu wanapenda kuwatisha wananchi waliowaweka madarakani?

    wanatisha wat ili wanyamaze ili wazd kujilimbikizia mali kwa manufaa yao na familia zao
  11. S

    CCM wamekuja Chuoni kwetu kutuomba twende Sabasaba

    Hakna kwenda maana wanataka wachukue picha waoandanye kwamba mnaunga sera zao kandamiz dhid watanzania makni wanaodai uhuru wa kiuchum, kisiasa na kijamii Dhihirishen kwamba mnajua kile wanachowatendea watanzania ndani ya nchi yao
  12. S

    Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    until the sun set patriotic people will be fighting for their nation! Who bewitched you? I what u are trying to deceive but nothing u will trap coz we all know what is happening within CCM.
  13. S

    Baada ya Jahazi la UKAWA kuzama, WARIOBA, BUTIKU na BAREGU wajitokeza Kuokoa

    Nafkr unajarib kufunika watu blanket la ujinga! umechelewa sana. Tanzania itatetewa na watanzania wazalendo wa kweli tena wanaopenda ukweli! WARIOBA NA BUTIKU wameandika kile ambacho wazalendo walitaka kifanyike , siwez kushangaa kwa vile watu kama wewe ndo wanaimaliza nchi!
  14. S

    Mbowe: Hakuna popote UKAWA walipomtukana Mwl Nyerere, Msitulishe uongo wenu!

    Kufikiria kabla ya kusema ni tabia ya watu wenye busara na ukiona huna cha kuandika ni kuacha kuliko kuonesha ni kiasi ulivyojaa ujinga na mitazamo finyu dhidi ya wale wanaotetea nchi hii! KAMANDA MBOWE tunakutegemea sana kwenye safar ya kuimboa nchi hii!
  15. S

    Kama Shivji/Mwakyembe waliandika vitabu na thesis kama Riwaya..leo wanazipinga si warudishe PHD?

    NIMEJUWA SASA KWAMBA MWAKYEMBE ELIM YAKE INA MASHAKA KWANI KAPINGA KILE KILICHOTUMIKA KUMPATIA PhD NA JE YUKO TAYARI KWENDA MBELE YA WALE WALIOMTUNUKU PhD NA KUWAELEZA KUWA ALIWADANGANYA! KWA MWENDO HUU SINA IMAN TENA NA UTENDAJI KAZ WA MWAKIEMBE
Back
Top Bottom