Sasa huo msafara wa magari yote yale hiyo hela ya mafuta si wangechanga wapeleke Mt Meru kusaidia hata wodi ya wajawazito??? Halafu mradi wa Olasiti aliuanza diwani ambaye ni wa upinzani sasa yeye kuja na kuzindua huoni ni ubabe usio na tija? Au ndio walitafuta wazuiwe ile mabomu yapigwe waseme...
Acheni kujifariji hawajalipwa bado We kahtaan mlaumu mzazi wako kwanini hauonwa na wachaga maana inaonyesha wamekushika mno... Ukisikia yalaa jua limempata mtu
ulivyo na akili mgando ushaanzisha malumbano ya dini... Kama unaona mkristo anakuonea si ukaajiriwe na mtu wa dini yako? Inaonyesha jinsi gani wewe na mwenzako mlivyo na uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo... Issue ya dini umeitoa wapi? Kajilipue basi huko Iraq tujue kweli wewe ndio kauzu...
Mimi ningekuwa mmiliki wa hii kampuni hakika ningejilaumu sana nimeokota wapi watu kama hawa kwenye kampuni? Nasoma hiyo qoute yako hapo nawaza kama kweli ulipata malezi ya mama wewe? Kwa mtu uliyefikisha umri wa kuajiriwa unaweza kweli kumuuliza mwezio swali la kishenzi na kipuuzi namna hiyo...
Hii kampuni nzuri sana inalipa mishahara mwanzo wa mwezi yaani nyie mnadai mishahara ya March...... Huyo Lema ni mfano wa kuigwa anaweza kuwalipa watu mshahara kabla mwezi haujaisha?
Well Said brother... Huyu jamaa ameonyesha namna gani alivyo na akili finyu mno... Mtu mzima unacheleweshewa mshahara 10 days unaanza kutapatapa na kujisifu kuwa wewe ni mwizi... Halafu anadhani kuporomosha matusi ndio tija? Ningekuwa na uwezo wa kuongea na mwajiri wake ningemshauri asitishe...
We Kibatufe unaonekana uwezo wako wa kutafakari na kufikiri ni mdogo sana.... Najiuliza hata huyo aliyekufanyia usahili ukaweza kupata kazi kwenye hiyo kampuni alitumia vigezo gani? Nimefanya uchunguzi wangu nikagundua kuwa wewe ni MPUUZI madai uliyoleta hapa ni ya kitoto... Kwanza umesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.