Recent content by Sahij

  1. S

    Lowassa hastahili kuishi nchi hii, nimegundua si mtu wa kawaida

    True. Huyu mtu hapo tu ndipo anaponishangazaga, mpaka saa ingine mtu unadhani au ni deals tu za kisiasa anacheza? Mbona anauvumilivu ambao si wa kawaida? Ila all in all this guy kwa picha ya nje he is exceptional. Cjui matendo yake ya ndani so no comment.
  2. S

    Tumuige Maalim Seif ama Lowassa?

    EL hana sababu ya kutokutoa mkono kwa JPM kwani anamtambua kama raisi, hajawahi kusema kuwa hamtambui, kule kwa kina shain hawatambuani na mikono wameona wasipeane. Mazingira ni tofauti.
  3. S

    Hakuna wa kumwaga damu kama polisi watakuja kutulinda

    Kama polisi imeshindwa kuwazuia waandaaji wa maandamano basi hakuna sababu ya kupiga raia wake, kama kweli maandamano ni batili basi wawakamate waandaaji sasa kwani wanavunja sheria, wakishindwa basi hayo maandamano yatapata wafuasi ambao ni ndugu zetu. Kama mtu alipata watu wa kudeki barabara...
Back
Top Bottom