Recent content by Sahare

  1. S

    Kura: Je, ungependelea kanisa la ufufuo na uzima lifutiwe usajili?

    umenena vema kiongozi, haya makanisa ni hopeless kabisa katika kukemea maovu nchini
  2. S

    Kitila Mkumbo: Kwa staili ya uongozi wa rais Magufuli tusingetarajia Makonda hadi leo awe madarakani

    Ukiona mtu anang'ang'ania gari bovu ujue kuna mzigo wake humo
  3. S

    Mhe. Rais, Mitandao ya kijamii yaweza kuangusha serikali. Actually, imewahi kuangusha serikali!

    Mi naona anajidanganya si anasema hata fomu alienda kuchukua mwenyewe???? Mtaani tunasema kwa mwendo huu mwache ajipoteze
  4. S

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    May be am talking to person with a dead brain, sorry for this friend. For your infomation Paul C Makonda= Daudi Albert Bashite
  5. S

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Hapan Hapana, Division zero ilianza zamani tu, ni kweli cheti hupewi lakinimuhtasari wa matokeo yako upo necta na unapatikana, nadhani hicho ndicho alichonacho Askofu Gwajima. Mtu pekee anayeweza kumaliza utata huu ni daudi mwenyewe kutoka hadharani na kuweka vyeti mezani. Ajabu yeye anenda...
  6. S

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Asnte kwa kusaidia kumuelimisha huyu ndugu, kama hayo matokeo si yake Mtuhumiwa si aweke matokeo halisi??? mamb yaishe, yeye analia
  7. S

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Sio cheti ni result slip ndugu, kama anasingiziwa atoe vya halali. Ujibu kwa hekima acha povu
  8. S

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Nchi hii kwa vituko, tusije kuambiwa tu ooh ule haukuwa uvamizi ila ni movie fulani ya action ambayo Bashite anashiriki na pale walikua wanarekodi, najaribu kuwaza tu kwa namna ambayo awamu hii inajiendea
  9. S

    Zikithibitika tuhuma dhidi ya Makonda, Rais atapaswa kuwajibika pia

    Imeshathibitika tayari, tunasubiri kuwajibika kwao
  10. S

    Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Hee kumbe mlivyoambiwa msiende kumuona Lema na msiwape wapinzani wenu muda wenu wa kuchangia hoja na pia kutoipinga serikali badala ya kujibu hoja mkaanza kulia, kweli chama kimekata pumzi. La Bashite tumelianzisha sisi na tutalimaliza sisi wenyewe. Wewe kaa uone mwisho wake
Back
Top Bottom