Recent content by Saghaf Juma

  1. Saghaf Juma

    Uasi na uharibifu wa majengo ya umma wa 29, October 25 kama ungefanyika kipindi cha Magufuli sasa hivi tungezungumza lugha nyingine

    Wasingethubutu hata kuinua hata mguu. Approach ya Mh.Rais Dr. Samiah Suluhu Hassan kupenda maridhiano wao wametafsiri kuwa ni kiongozi dhaifu kumbe ni kiongozi muungwana anayependa utawala bora na wa Sheria.
  2. Saghaf Juma

    Jaji Masaju: Kumekuwa na tabia ya ovyo watu kuihukumu Mahakama

    Sasa hivi kumekuwa na tabia ya ovyo sana hasa kwa wanasheria wanaharakati ambao hulalamikia mwenendo na taratibu na wakati hata maamuzi ya mahakama wakati wanafahamu taratibu za kufanya endapo hujaridhika na maamuzi ya mahakama. Unapata mashaka juu ya uhalali wa msomi(a learned brother) kuwa...
  3. Saghaf Juma

    Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Msukumo wa mahitaji ya katiba mpya hasa unatoka wapi?! Kwa wananchi wa kawaida (common people) au wanasiasa?! Ni vema msukumo ukatokana na wananchi wa kawaida kwa kutazingatiwa zaidi maslahi ya umma au ya nchi. Endapo msukumo kama utatokana na wanasiasa maslahi yatakuwa ni kutafuta milango...
  4. Saghaf Juma

    Hekima na busara za wazee ni muhimu;

    Lakini ni mafundisho kwa wengine 🤝
  5. Saghaf Juma

    Hekima na busara za wazee ni muhimu;

    Wakati fulani unaweza ukajua nini cha kufanya lakini usifahamu namna ya kufanya ili uweze kufanikisha malengo uliyokusudia. Ni wakati kuzingatia ushauri wa watu mbali mbali Ili UWE na maarifa mapana katika utekelezaji wa malengo. Kama mh.Tundu Lisu angezingatia ushauri wa mwanahabari nguli...
  6. Saghaf Juma

    Itoshe Kusema Umaskini Ulizaliwa Dodoma Ukakulia na kuishi Songea na Lindi

    Lindi imejengwa nyumba za ghorofa miaka ya 1920 ....na kuendelea na wafanyabiashara wa kiasia(wahindi). Dhahiri kuwa katika mji ambao una uchumi duni huwezi kujengwa nyumba za ghorofa.Lindi ilikuwa inapokea meli kutoka mojo kwa moja Ulaya na Asia kuleta bidhaa na kubeba mazao kutoka Lindi...
Back
Top Bottom