Isa 40:28 SUV
Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
Wewe endelea kumchunguza Mungu uone kama utaweza
Haina haja ya kutaka kujua kaumbwa au hakuumbwa. Ninavyojua Mimi na kuamini yeye ni WA milele na...