Recent content by safarie

  1. S

    Haijalishi hata kama nimeoa bado una nafasi kwenye moyo wangu!

    Muheshimu mkeo kaka, maake kama dini yako hairusu muache aendelee na mchakato wake lakini kama dini inaruhusu mvute. Mkeo asije akakufanyia hivyo pia.
  2. S

    Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

    tumwombe mungu atuepushie dada zetu na wachumba zetu maanake du !!! sijui kama tutapona.
  3. S

    Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

    Darwin, Nashindwa kuchangia, maana sijafahamu kama tunaongelea wale wanaoishi kama mke na mume au prospective relations maana nasikia wengine wanasema asiyefahamu kupika au anayesema amechoka na kugeukia upande mwingine. Any way mie kwa utafiti wangu usio rasmi wakaka wanawaogopa sana wadada...
  4. S

    Kuoana kwa kuoneana huruma is it right????

    Any way mitizamo inapendeza, na pia inajenga lakini practice inabaki kuwa practice! Jaribu kurefer mahusiano yako au ya mtu wa karibu utautambua ukweli. Wengi tumekuwa na mahusiano na wengine tunaendelea nayo ebu pima kama sio yanaendelezwa kwa sababu yalianzishwa tu mpaka wengine wamefikia...
  5. S

    Kuoana kwa kuoneana huruma is it right????

    Natumai mko alright, Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....
  6. S

    natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

    Kila la kheri ndg, bila shaka utaoneshwa tu, nafikiri delay inasababishwa na vigezo ila wako wengi wanaohitaji pia.
  7. S

    Looking for a husband

    Du inaonekana viwango viko juu, ila kuna maeneo hayajaguswa mfano mtu hajaoa labda kabahatika kuwa na watoto na pengine labda kwa kiasi yuko around ya characters zilizopendekezwa. Changamoto hiyo vp unaweza kulea watoto wa mume mtarajiwa.
Back
Top Bottom