Wanajamii wenzangu kuna huyu jamaa ananitatiza nisaidieni please.Huyu mwanaume tulipendana kama miaka tisa ya nyuma tukapotezana kwa muda tulopokutana akasema anahitaji kunioa.
Mimi kwakuwa nilikuwa nampenda nikamwambia anipe muda niweze kusitisha mahusiano niliyonayo na jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.