Mimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa usafiri wa mabasi ya mikoni. Kiongozi mmoja akifuta safari za usiku na mwingine akizikirudisha. Mmoja ikichagua mabasi gani yasafiri usiku na mabasi gani yasisafiri usiku nap engine kusiwe hat ana vigezo vya ruhusa ama makatazo hayo.
Lakini kwa...
Utangulizi
Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale wakubwa.
Maeneo kama Tegeta kwa mfano, ama Bunju ama Banana ama Gongo la Mboto ama Mbagala kumekuwapo na...
Utangulizi
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza tunawezaje kukusanya kodi bila ya kutumia gharama kubwa ama bila ya mlipa kodi kulalamika ama bila ya kukwepa kulipa kodi.
Baadaye nikaona njia nyepesi ni ya kumhamasisha mlipa kodi ni pamoja na kwanza aone fahari kulipa kodi yenyewe kwa hiari lakini...
Utangulzi
Kufuatia mpango wa serikali ya Tanzania kuagiza ndege moja ya mizigo (Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba tani 52) katika kkufanya biashara na kusaidia katika usafirishaji wa bidhaa za ndani na nje ya nchi. Niiliwaza na kuona kuwa kuna haja ya kulitizama hili mapema ili kuepuka hatua za...
Utangulzi:
Kumekuwa na ukimya mwingi juu ya lini ofisi kuu za ubalozi zitahamia Dodoma ili ofisi za Dar es Salaam zibakie kuwa ofisi ndogo. Hivyo nimekajaribu kuwaza nikafikiri kuwa kuna haja ya kulitizama hili ili kuamsha hisia kwa wahusika na kujua mipango ama viashiria vya changamoto katika...
Utangulizi:
Yapo maeneo mengi ya wazi ambayo kwa namna moja ama nyingine naona bado hayajapata bahati ya kuendelezwa ili kuweza kuwanufaisha wananchi wa maeneo hayo kutokana na faida zake. Kama maeneo haya ya wazi yataendelezwa, basi naamini kuwa yatasaidia sana wananchi kufanya tafakari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.