Recent content by Safari Njema

  1. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado mnarudia makosa, tatizo ni nini?

    Ndugu yangu kila unapoandika unaonesha wazi nia ya kusiriba pasipo na facts zozote. Unajitahidi kujenga hoja lakini hoja zenyewe zipo nje kabisa ya mstari. Mimi sio mwana Ttcl ila nakerwa na uzushi kama wako. Laini zilizozimwa ni CDMA na hii ilikuwa agizo la TCRA, ttcl walitoa matangazo chungu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado mnarudia makosa, tatizo ni nini?

    We una lako jambo. Ttcl ipo kwa 2G, 3G na 4G. Hoja zako ni za kuokoteza
  3. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado mnarudia makosa, tatizo ni nini?

    Laini za ttcl ni bure. Kuanza kutumia unaweka kiasi chochote kuanzia 500. Vocha zipo kwa Mawakala na Freelancers. Waweza pia kununua kwa T Pesa, Tigo Pesa, M pesa na Max Malipo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado mnarudia makosa, tatizo ni nini?

    Kata mzizi wa fitna, chukua simu yako weka laini ya ttcl ambayo ni bure, then tupe majibu. Acha assimptions
  5. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado mnarudia makosa, tatizo ni nini?

    Ni vyema mtoa hoja ukawa na facts kuliko kutoa tuhuma za uzushi. TTCL inapatikana Nchi nzima, kuanzia katikati ya June 2008 mara tu baada ya kutoa Gawio. Kwa simu aina zote hata Vitochi. Nimefanya utafiti kuanzia Dar hadi Mwanza, Ttcl imekuwa hewani muda wote bila kukatika hata eneo moja...
  6. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Wewe unastahili tuzo ya Uzushi na hoja za kuokoteza. Ngoja niku ignore cause huna unalolijua zaidi ya kudandia treni tu. Ttcl haijawahi kupokea hata senti moja kama Ruzuku. Labda kama hilo tukio lilifanyika Sebleni kwako.
  7. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Mhe Waziri Mkuu amesema vizuri kuwa matarajio ya Serikali ni kuiona Ttcl ikijiendesha kwa faida na sio kuomba Ruzuku. Hajasema popote kuwa Ttcl inapata ruzuku.. Huu ni upotoshaji wa makusudi. Nimejiridhisha kuwa ttcl haipokei ruzuku hata senti moja. Fanya utafiti wako vyema, ukipata facts njoo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Ukisikia upotoshaji sasa ndio huu. Ni vyema unapoamua kujenga hoja jenga katika misingi ya ukweli na fanya utafiti kidogo. Kwanza si kweli kuwa Ttcl inapata ruzuku kutoka Serikalini. Ttcl haipati fungu lolote, inajiendesha yenyewe licha ya changamoto nyingi. Narudia kushauri kuwa, kweli yapo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Wabongo bwana, tunapata courage ya kusema uongo kiasi hiki? Hata kama una concerns zako sema ukweli basi. Ttcl wana Accounts kwenye Facebook , Twitter , Instagram , wana Website na zote zipo live. Wanajitangaza kwenye Redio, Tv, Magazeti, Mitandao na Mabango. Tumewasema sana hawa watu, sasa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Si kweli kuwa TTCL inapokea ruxuku kutoka Serikalini. Haipokei hata senti 5, inajiendesha yenyewe na wameahidi kutoa gawio serikalini mwaka huu, means wanajiendesha kwa faida. Tuache ushabiki, tuwashauri kwenye mapungufu na kwenye jitihada tuwapongeze.
  11. S

    JamiiForums Tanzania TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Naona kuna wrong information nyingi humo ndani na watu.wanaochanganya mambo eg. TTCL haiendeshwi kwa ruzuku za Serikali ie inalipa kutoka na mapato yake ya ndani infact haipokei hata senti moja ya ruzuku. Uwekezaji ni kweli ulianza kwenye 4g na 3g mjini na 2g vijijini. Nijuavyo Mimi mara...
Back
Top Bottom