1. Ni siku ya tatu leo.
Nipo hoi kitandani
Natweta sijitambui.
HAKIKA mwanamke ameniponya.🦚
2. Tumbo limenitesa,
Tumbo limekatakata
Nimekwenda NENDA nenda rudi, mbio bila mshindani.🏃🏾♂️
3. Muziki mkali ulipigwa,
Huo bila ya nota,
Nikifumba macho
Kwa maumivu tele,
Lakini mwanamke dawa.
Mchana...