Recent content by SAFAM classic

  1. SAFAM classic

    Kukata rufaa Bodi ya mikopo

    Acha ku screenshot. Scan
  2. SAFAM classic

    Kukata rufaa Bodi ya mikopo

    Hapo haikai picha ndugu . Weka pdf
  3. SAFAM classic

    Ukikata rufaa bodi ya mikopo kama umepata kidogo, ule wa mwanzo wanaweza kuuchukua na unaweza kukosa kabisa?

    Jamani nimerudi tena itabidi munizoee tu . Eti ukikata rufaa bodi ya mikopo kama umepata kidogo . Ule wa mwanzo wanaweza kuuchukua na unaweza kukosa kabisa. Au wanakuachia?.
  4. SAFAM classic

    Kukata rufaa Bodi ya mikopo

    Wapwa naombeni msaada. . Dirisha la kukata rufaa limefunguliwa RASMI HELSB tar 13/11/2022 .Nimepata mkopo ila sijaridhishwa na kiasi cha mkopo nilipata . Je naweza kukata rufaa?
  5. SAFAM classic

    Naomba ufafanuzi

  6. SAFAM classic

    Msaada wa malazi Moshi

    Ngoja tuangalie
  7. SAFAM classic

    Msaada wa malazi Moshi

    Mimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university. Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba Pia nahitaji kuijua gharama zake
  8. SAFAM classic

    Course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini?

    Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana? Na ajira zake zikoje upatikanaji wake. Au kwa upande kujiajiri
Back
Top Bottom