Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, Leo ni siku ya kupunguza maumivu ya Jana kchapo Cha PSG vs Chelsea. MPE TANZANIA W mazina ana odd 3.9, ameipania mechi kupitia maelezo. Anacheza dhidi ya Ghana W (kibonde)
Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese.
3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya bando nakosa...
Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa.
1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5.
2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match fixing) refer Kwa tuhuma za Udinese.
3. Nimekuwa addicted. Nikikosa ela ya kustake na ya...
Wadau, Siri ya ushindi Kwa sasa Kwa big match ni kucheza Kwa kuweka mbali uhalisia. Kwa mfano uhalisia Jana real Madrid ni WIN. waliompa arsenal waliula.
Mfano A vs B . Handicap 0:2 maana yake umempa timu B Goli 2. Hivyo kabla ya mchezo matokeo ni 0:2. Ukimpa A ashinde inabidi apate Goli 3 na timu B isipate Goli hata moja ambapo matokeo yatakuwa 3:2.
Ukicheza na mwarabu Kila chance TATU hakikisha Moja au mbili ziwe Goli. Ukizikosa, unawaamsha na wanakuadhibu. Shida ya mnyama Leo ni kushindwa kuconvert chances kuwa magoli. Poleni ndugu zetu, ndio ukubwa huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.