Viongozi wanaohusika tunaomba ufafanuzi kweny hili wengi wetu mikoa ambayo tuliomba sio ile ambayo tumeandkiw kweny account zetu za ajira portal kweny kpengele cha employer na kuna ujumbe umetumwa unasem eneo unalofanyia usahil wa mahojiano ni eneo ambalo umeombea nafasi ya kazi sasa tunashndw...
Kaka samahani naomba kuuliza hivi kwa mtu ambae ana certificate ya clinical madicine pale kweny machaguo ya ya certificate,basic techician certificate,technician certificate hua anatakiw achague ipi kati ya hzo?
Habari wana jamii forum mimi ni kijana mwenye umri wa 22 yrs nina elimu ya certificate ya clinical assistant naombeni msaada mwenye connection ya kazi mahali popote anisaidie npo dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.