Shida ya hawa watu ni waoga sana alafu wanakubali kuwa Cheap as chips!!!
Niliwaona waoga kipind cha semina za sensa, wakufunzi wa semina hawatoi hela ili hali vituo vngne wameshapewa wao wanazidiwa na watoto wa kidato cha nne kuhoji! Wanasema acheni tutafukuzwa!!
Yaan sijui hii sekta ukiingia...
Tatizo lako sio kubwa sana, una lack exposure tu!
Jichanganye na watu wanaofanya mishe zngne acha kuwaza ajira tu, ungekuwa umesoma Physics au Mathematics ungeshapata kitambo sana, kuna walimu wengi mno Chem$Bios walohitimu huo mwaka hawana ajira bado.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.