Recent content by saburaneke

  1. saburaneke

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliwahi kuibiwa kupoteza au kudhulumiwa ambacho uliumia sana na kuvunjika moyo?

    Dah! sitasahau siku nimedhulumiwa ngombe wangu 5 wakubwa dah! Niliumia sana! Yaaan ilikuwa iv mm nafanya kaz na naishi mkoa mmoja hapa TZ Sasa nikawa namtumia pesa ccta angu mtoto wa mjomba wangu! Ili aninunulie ngombe kweli nmetuma hela mpaka nikafanikiwa kupata ngombe 5 na kondoo 4 yy yuko...
  2. saburaneke

    JamiiForums Tanzania Jinsi wafanyakazi tunavyoingia kwenye wimbi la umaskini

    Duh! Wazee wa kutengeneza uzi!!!
Back
Top Bottom