Ni kitu gani uliwahi kuibiwa kupoteza au kudhulumiwa ambacho uliumia sana na kuvunjika moyo?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Ni kitu gani cha thamani ambacho uliwahi kuibiwa kupoteza au kudhulumiwa kiasi cha kukuumiza,kukukatisha tamaa, na kukuvunja moyo?

Mimi nakumbuka niliibiwa majogoo 30 na mitetea kadhaa hili tukio siwezi kulisahau nilivunjika moyo niliumia niliugua week nzima ukizingatia ni jogoo niliokua nawalisha chakula cha kununua na dawa niliumwa aisee.

Kingine ni siku nimeibiwa simu ya laki 2 na 70 acha tu sitaki kukumbuka kabisa.

Ila suala la kuku liliniumiza sana hadi leo nawachukia sana wezi yaani mtu aniibie hata kijiko huwa nafikiria kumfanyia kitu kibaya sana katika maisha wezi na wachawi ni viumbe nisiowapenda kabisa.

Kwa upande wako mwanajamii mwenzangu ni kitu gani cha thamani ambacho uliwahi kuibiwa kupoteza au kudhulumiwa kiasi cha kukuumiza,kukukatisha tamaa, na kukuvunja moyo?
 
Nilivamiwa nikawekwa mtu kati ile nataka kukurupuka nikala ngumi ya tumbo nikatuliza mshono ili waniibie vibaka wale!.. wakati huo bisibisi ipo mkabala na tumbo.

sijui nani aliwafundisha kupiga tumbo tu.. wakanisachi wakakuta nina Mia 700 tu! Wakachukua wakaniachia roho yangu.. hapo nilikuwa shule ya msingi mpk leo naikumbuka 700 yangu inaniuma Sana..😅
 
Daaah aisee
Nilivamiwa nikawekwa mtu kati ile nataka kukurupuka nikala ngumi ya tumbo nikatuliza mshono ili waniibie vibaka wale!.. wakati huo bisibisi ipo mkabala na tumbo.. sijui nani aliwafundisha kupiga tumbo tu.. wakanisachi wakakuta nina Mia 700 tu! Wakachukua wakaniachia roho yangu.. hapo nilikuwa shule ya msingi mpk leo naikumbuka 700 yangu inaniuma Sana..
 
Dah! sitasahau siku nimedhulumiwa ngombe wangu 5 wakubwa dah! Niliumia sana! Yaaan ilikuwa iv mm nafanya kaz na naishi mkoa mmoja hapa TZ Sasa nikawa namtumia pesa ccta angu mtoto wa mjomba wangu! Ili aninunulie ngombe kweli nmetuma hela mpaka nikafanikiwa kupata ngombe 5 na kondoo 4 yy yuko kijijin kwetu! Iyo n kwa mujibu wa hesabu za pesa nilizokuwa natuma! Sasa mwaka huu mwez wa 5 nmeenda likizo nmeenda bush kwa lengo la kusalimia na kucheki mifugo yangu! Dah ctashau aisee! Ckukuta hata mtoto wa ngombe kuulizwa anasema ety pesa alikuwa anapeleka kwenye vikoba! Dah achani niiliumia sana moyo mpaka leo cna hamu tena na cmwamini mtu tena
 
Back
Top Bottom