Tangu mwaka 2015 chuo kimekuwa kinajaribu kupandisha ghalama za kusujiliwa chuoni,
Walianza kwa kutaka kupandisha pesa ya kulipia kwa siku kutoka tsh 500 kwa kila mwanachuo had I kufikia tsh 1000 lakini kila Mara walishindwa kulingana na ukinzani kutoka kwa wanafunzi kupitia viongozi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.