Recent content by Sabrina bunnah

  1. S

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    MziziMkavu, Habar yako mzizi mkavu, Mimi nimeamka leo asubuhi sikio langu moja la kulia limeziba alafu sisikii vizur,saut mtu akiongea unakua na mitetemo na muhungurumo mzito kiasi kwamba sielewi nini mtu anasema, na saut inakua kali sana. Naomba unisaidie nini Tatizo sielewi hata dawa ya...
  2. S

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Habar yako kaka, samahan kwa usumbufu mm ni msichana naitwa Sabrina,Naishi tz ila juz kat nimepata fursa ya biashara China, yan kuchukua madera tz kupeleka China kuuza ,shida yangu ni moja jinsi ya kupeleka mzigo China na changamoto zake zipoje,na je ktk pita pita zako ushawai ona biashara ya...
  3. S

    Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

    Mm Naomba unisaidie mkuu ,niliwahi kujaribu kuchukua lakin nilipo Fungua account niliweka na neno la siri mtandao unazingua nikaacha ,nilikaa kama mwez hiv nikarudia tena kuomba ,nikaambiwa namba yangu imeshatumika ivyo tayar nina account ivyo natakiwa niingie tu,sasa tatizo ni kwamba nimesahau...
  4. S

  5. S

    Ni Gazeti lipi zuri kutangaza biashara Zambia

    Unataka kuwasilisha biashara gani mkuu ,mm nimepata dil la kupeleka Nazi za kopo, madera na baibui za nyumba, lakin sijapata mwongozo vizur na sijapata mwenyej ,je ww upo Zambia
  6. S

    Wanahitajika vijana wa kazi ,kansasy city(Marekani)

    Mmmmmh siyo kuuzwa huku ww kaka ww mungu anakuona
Back
Top Bottom