Recent content by Sabreena juma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha miezi 6 wawekezaji wamevunja rekodi ya kuja wengi nchini

    KIPINDI CHA MIEZI 6 WAWEKEZAJI WAMEVUNJA REKODI YA KUJA WENGI NCHINI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miezi sita ikiwa ni kuanzia mwezi Machi hadi Agosti, 2021, idadi ya wawekezaji wanye nia ya kutaka kuweza nchini imeongezeka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa (Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa mtandao

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septemba 7, 2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa aziagiza taasisi za Serikali kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika vituo hivyo ndani ya mwaka...
Back
Top Bottom