Recent content by sabina haroon

  1. sabina haroon

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Unayoangalia wewe ni ITV yako siyo ile ya mengi mana ya mengi imetangaza
  2. sabina haroon

    Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Vipi mzee wa site umeshinda teteeeee teteeeee
  3. sabina haroon

    Uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ludewa na Masasi

    Niambie sentes hata moja ihusuyo ufisadi iliyosemwa na viongozi wa ukawa wakati wa kampeni broo
  4. sabina haroon

    Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    Washabikie tu iko siku watakwambia ili upate hiyo hela yako ukubali watu wafanye ngono na mbwa uoe mwanamme na ndoa za waume kwa wake marufuku usipokubal hawakupi misaada ndo unajua yesu yu mlangon
  5. sabina haroon

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Haina shida ngoja tuwashughrikie kwanza wachaga na ndugu wa kask walioiba na tusiwape mawazir tuone kama chadema watawaletea maendeleo
  6. sabina haroon

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Kwaiyo magufur anagombea ubunge arusha
  7. sabina haroon

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Amepoteza kwako ila kwa wananchi wajimbo lake bado hakupoteza na nyie bavucha mtulie fisadi lowasa hatukumtaka
  8. sabina haroon

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Nyie upawa si mtulie mlitaka awachague wenu wakati serikali ni ya ccm
  9. sabina haroon

    Chekeleeni ya Magufuli, yatakujieni ya Hitler

    Acha mahaba mzee wa mahaba hakushinda niuulize ivi kati ya waziri na katibu mkuu wa wizara nani anatekeleza majukum ya wizara, tumpe ushirikiano rais afanye kazi
  10. sabina haroon

    Rais Magufuli Kuongea na waandishi wa habari Ikulu, Dar Es Salaam

    Watanzania bhana tabu kazi kubashir situsubil
  11. sabina haroon

    Arsene wenger ni bonge la kocha

    Yeye hajapost kuhusu nani hajabeba kombe amezungumzia kufika kumi nasita bora kwa wakati mgumu na kuweka record ya kurotolewa hatua hiyo toka awe kocha sasa unakurupuka na agenda nyingine nenden mchape ze comed alhamis huko kocha kazi kuandika uwanjan hadi dk 89anaandika kila mechi mtoe mapovu
  12. sabina haroon

    Arsene wenger ni bonge la kocha

    Amekwambia amefikia 16bora mara 16 afu unahoji ambalo hajakwambia ebo
  13. sabina haroon

    Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Endelea kutumbua majipu wewe ni kiongoz shupavu kikwete amalize mda wa umwenyekiti asije kwanza kukubana kwa cheo cha umwenyekiti ebo
  14. sabina haroon

    Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

    Hii taasisi siyo ya kukurupuka ujue hao mafisadi wanawekeza nawalijipanga mambo mengi iwe sheria
  15. sabina haroon

    Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

    Kweli hulewi unaitwa pre eta unataka akupe nini only month one tilion sana acha mahaba ya siasa wewe au unandugu yako kigogo wa ufisadi unajihofu
Back
Top Bottom