Nisiyeegemea upande wowote. Sasa Tanzania tumenunua ndege wengine wanalalamika. Leo unajiuliza kwanini Angola wameweza kurusha Satelite halaf TZ tumeshindwa. Swali, Je, gharama za kuunda Satelite ni sawa na za ndege? kama siyo, je, Tz ingenunua Satelite si watu wangeandamana kabisa coz...