usisingizie mwanza, au ngw'anza. tunahitaji kiongozi mtanzania nawenje ni mtanzania. kwasababu watanzania hatujui kufikili nadhani wengi wetu ni mental retarded ndo maana badala ya kuja na hoja tunakuja n a unafiki hoo mkenya, watu wa mza wamemchoka if ur mental retarded doctors can not revive...
tatizo la watanzania hatupendi kufikiria hata kama jambo liko wazi, mfano ni nchi gani iliyoendelea inakiongozi mwizi madarakani anaendelea kula mema ya nchi, kwani lowasa ndiye kiongozi pekee, hatuwezi badilisha? Mungu wangu cjui tumelogwa na nani,
watanzania wengi hawana uwezo wa kufikiri hope most of them they are mentally retarded. huu ndo ulikua mwafaka wa kumtoa rais kama huyu ambaye anafikiri kwa kutumia uti wa mgongo. but watu wanashabikia tu!!!!!!!!!!!!!!!!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.