INVITATION TO PARTICIPATE IN GIS DAY ANNUAL EVENT GIS Day (GIS Day November 20, 2013 - Discovering the World Through GIS) is an International annual event for users of Geographic Information Systems (GIS) and related technologies to demonstrate real-world applications that are making a...
Wasalam wana jamvini, natumai mko bukheri wa afya.
Mdogo wenu nimefanikiwa kupata nafasi kusomea degree ya Enviromental Planning and Management (2013/2014). Kwa wale ambao wameshasoma au kufahamu vizuri, naomba kunipa ushauri na maono yenu kwa mdogo wenu wakati nitapojiunga rasmi.
Nawasilisha.
Wanajamii wenzangu ni memaliza mwaka jana course ya Enviromental Planning and Management (IRDP Dodoma).Wale wazoefu wa mambo nawezaseje kujipenyeza kwenye soko la ajira ama kujiajiri/kuajiriwa.Naombeni ushauri wenu
Wanajamii hapa kuna swala linatatiza kidogo.Kuna bwana mdogo amechaguliwa Course ya Enviromental Planning and Management IRDP na alikuwa anabackground nzuri kwenye GIS (kwa miaka minne) na ana diploma ya Cartography .Swali kwa wazoefu wa mambo hivi akienda kusoma kozi ya Enviromental Planning...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.