Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
Bado TUNAPOKEA MAOMBI KWA WALIOKOSA VYUO KWA KOZI YA LABORATORY ASSISTANCE KWA NGAZI YA CERTIFICATE
[emoji95]HII NI KOZI YA MWAKA MMOJA NA ADA NI NAFUU SANA [emoji95]1,000,000 TU INALIPWA KWA AWAMU NNE
[emoji95]UFAULU WA KIDATO CHA NNE WA ALAMA 'D' MBILI TU
[emoji95]CHUO KIPO KIGOMA MJINI...
Karibu ndugu, Tunatoa kozi ya Wizara ya Afya ambayo ni ya maabara kwa ngazi ya Certificate na Diploma na pia tunatoa Kozi ya VETA ya Laboratory Assistants kwa ngazi ya Certificate. Ila kwa sasa dirisha la kozi ya Wizara limefungwa imebakia hiyo ya VETA ambayo intake yake ni ya Januari
Mkuu tulikuwa na project nzuri sana ya kuanzisha chuo cha kozi za afya kwa ngazi ya Diploma.... Tuliipunguzia nguvu ya implementation kwa kukosa funds.... Kama upo serious njoo tuweze kufanya jambo
500GB External HDD inauzwa ipo Tabora mjini hapa Ipuli. Ni mpya kabisa imefunguliwa ili kuwekwa movies tu. Bei yake ni 75,000 tu. Mwenye uhitaji aliyeko Tabora anicheki kwa namba 0621448149
Wakuu nimekwama nahitaji mwongozo kwa anayefahamu. Kwenye hizi ajira za TAMISEMI kuapply online hivi ukimaliza ku-upload taarifa zako na vyeti ndio ume-apply tayari? Mbona hakuna link ya kuapply?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.