Recent content by S orbital

  1. S

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Ni hatari mkuu.ana uwezo mdogo ndio maana hata uongozi unamshinda
  2. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Dah! Mc wewe ni kichwa kwingine pia.nakubaliana na wewe.asante
  3. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Akili yako fupi na Bado hujakuwa.nani kakwambia kazini wananichukia? Kwanza unaonekana una roho mbaya halafu una upeo mdogo.sikuombei mabaya ila siku yakikukuta ndio utajua wanadamu wakoje.Anyway pungza stress
  4. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Pole Sana na wewe.yataisha usikate tamaa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Mkuu hii stori ni ukweli mtupu hata mungu ananiona
  6. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Sawa mkuu.sina nyondo hata kidogo lakini unaonekana una stress ndio maana unatukana.kuwa mstaarabu mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Pole kidambinya,komaa.watakuelewa kesho kwani mwiba wa leo ni maua ya kesho
  8. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Chamoto nakushukuru Sana ndugu yangu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Sure,nimeonja upendo wake kwa vitendo.mwingine angekimbia na kuniachia watoto
  10. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Wote mkuu,nimeshajua rangi za mioyo yao
  11. S

    JamiiForums Tanzania Walionicheka na kunidharau wakati nina matatizo, wamenuna baada ya kumaliza matatizo yangu

    Uzuri wangu mkuu,huwa Sina kinyongo nachukua ya msingi nasonga nayo mbele
Back
Top Bottom