Kupigania haki ya wanyonge wa nchi hii ni jukumu la kila mtanzania, si halali hata kidogo CCM kutumia hila kukihujumu chama makini kama CHADEMA,ikumbukwe kuwa sisi vijana tunaendelea kuteseka kwa upuuzi wa viongozi wabovu wa CCM, hayupo hata mmoja atakayenyamaza na aache upuuzi huu uendelee...