Recent content by RWAMAIGI

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Nimekuwa nikimsikiliza kijana Humphrey Polepole katika mijadala ya kisiasa inayoendelea kwa sasa.Kimsingi bwana mdogo haeleweki anasimamia nini. Kwa wafuatiliaji kilichomfanya Polepole afahamike ni rasimu ya Warioba,leo ameitupa kabisa na katika hoja zake haoneshi uhusiano uliopo kati ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata wa CHADEMA kata ya Arusha chini na wengine 335 wajiunga na CCM Moshi

    Chama kina wanachama milioni 7.5 lakini mgombea wake wa urais anapata kura milioni 5,Lumumba kweli mmechoka na mmeamua kuishi kwa propaganda za kitoto tu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Matunda ya uanzishwaji wa Red Brigade ya CHADEMA yameanza kuonekana kwa vitendo!

    CCM kwa kuwadharirisha binadamu hamjambo.yaani mbaba mzima mnazungungusha kwenye mitandao uchi kwa lengo tu la kutaka kupotosha ukweli. Pole kagenzi uliyataka mwenyewe.CCM watakudharirisha sana na mwisho watakutupa tu.Muulize yule kijana Tesha wa tindikali Igunga leo walishasahau kama walimtumia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Acha kupaniki we dogo,kwenye taarifa ya chama sijaona sehemu wanataja neno sumu.Au mlitaka kutumia sumu nini?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

    Arfi,Shibuda na Reticia NYerere basi hakuna mwengine hawezaye toka CDM.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa UKAWA kushinda-hesabu za Majimbo

    Tengua tauli,kwani watu wameishajiudhuru tayari.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hatua inayofuata ni CCM kuanza kujaribu kujitenga na mafisadi kama kweli kuna wasafi ndani yake

    Mi nimeongelea CCM CDM inaingiaje hapo? Hata hivyo unachosema kuhusu CDM yaweza kuwa propaganda za kisiasa,lakini kwa haya masuala ya ufisadi makada wa CCM wamethibitika kujiusisha sasa chama kichukue hatua vinginevyo tutajua kuwa ndio kinawatuma kufanya hayo kwa niaba ya chama chenyewe.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hatua inayofuata ni CCM kuanza kujaribu kujitenga na mafisadi kama kweli kuna wasafi ndani yake

    Ni mara nyingi sasa tumeshuudia bunge likijaribu kuchkua hatua dhidi watu wanaolisariti taifa kwa kushiriki kwenye vitendo vya ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma. Hatua hizi zimeonekana kutokuungwa mkono kwa namna yoyote na chama cha mapinduzi.Hii ni kwa sababu watuhumiwa wote katika...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Pigo la pili kwa Mwigulu ndani ya wiki moja

    Anakubalika kwa nani?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

    ahache dharau.huwezi kumdharau kila mtu na ukabaki salama hasa kwenye siasa.mwanasiasa ni lazima ujifunze kujishusha.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

    ikulu ilikuwa kwenye uchunguzi na imejiridhisha pasi na shaka kuwa ana hatia ndio maana wakamtimua.sasa tumbili anaingiaje hapo.kila mtu atavuna alichopanda.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Pigo la pili kwa Mwigulu ndani ya wiki moja

    Harakati za kijana mwenye uchu sana na madaraka zimeendelea kukumbwa na mapigo makubwa kutokana na ya chama chakeCHAMA CHA MAGAMBA.Pigo la kwanza nile alipopigwa stop ya kuzunguka mikoani kwa nembo yachama chao na Kinana,na la pili ni kutokumbukwa kupewa u-WAZIRI kamili na Kikwete.Kwa mapigo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tamko la UVCCM Mkoa wa Geita kupinga kusimamishwa ziara za Mwigulu

    Mazombi yanaruka na kukanyagana.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    Mungu amlinde Dr.SLAA
  15. R

    JamiiForums Tanzania YAH: Taarifa za Uzushi/Uongo kuhusu kupotea kwa Helkopta nikiwa Ziara Mkoa wa Tanga (17.01.2015)

    karibu tena kashai.ccm wamezidiwa sana.
Back
Top Bottom