Recent content by Ruyama

  1. Ruyama

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yaani najiandaa kupiga pasi umeme unakatika this is too much,jua likiwepo umeme unakatika,mvua ikiwepo umeme unakatika [emoji134]
  2. Ruyama

    Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

    Wapi wamefunika? E fm au Clouds
  3. Ruyama

    Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

    R.I.P Ruge angekuwa hai Fiesta ingekuwepo
  4. Ruyama

    Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

    Umefafanua vizuri
  5. Ruyama

    Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

    Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta Mwana FA, haya mambo ya ajabu kweli
  6. Ruyama

    Hivi ni kweli umasikini umepungua Tanzania?

    Nikirejea maana ya POVERTY-lack of afford the basic needs such as clothes, food and shelter. Leo hii mishahara haijaongezwa,jee itawezekana mtumishi kununua nguo mpya yeye na watoto na mke?jee mili mitatu inaliwa kikamilifu,jee ataweza kulipa kodi kwa wakati? Sio vizuri kusema umasikini...
  7. Ruyama

    Dudu Baya au Konki Master alitumiwa na Diamond Platnumz

    Uki unganisha dots kipindi Diamond Platnumz alivyokuwa na bifu na marehemu Ruge Konki Master alikuwa anamtukana sana pia baada ya Harmonize kujitoa Wasafi Konki Master akawa anamtukana mnoo. Konki Master akaanza kumtukana Joseph Kusaga ndipo Konki Master akatolewa Wasafi, sasa kumbe Diamond...
  8. Ruyama

    Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Kumnyonya konde boy asilimia 60 dogo anapata 40,hii dunia hii
  9. Ruyama

    Haya mambo mawili yamenistua sijui maana yake

    1. Leo nimepigiwa number ngeni nikapokea akajitambulisha mdada nikamkumbuka, alikuwa mpenzi wa marehemu kaka yangu walipotezana tokea 2013 kaka yangu alifariki 2016 kumbe kipindi wako kwenye mahusiano kaka aliandika number yangu kwenye diary ya huyo mpenzi wake sasa leo ananipigia na kuniuliza...
Back
Top Bottom