Hospitali ya Nairobi alikolazwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha wanasheria nchini Tundu Lissu imesema haijapokea fedha zozote kutoka bunge la Tanzania hadi kufikia jana saa 10 jioni. Mkuu wa mahusiano ya umma wa KHA inayomiliki hospitali hiyo Bi.Catherine Njoroge ameiambia...
Mh. Zitto umeshau mfano mmoja Ndugai aliposema ana uwezo wa kukuzuia kuongea, kuuliza swali wala chochote bungeni na usimfanye chochote na usiende popote, kitu kinachoonyesha alimaanisha aliidharau hata hiyo kamati ya maadili. kwamba yeye ndo anatoaga hukumu
Tumefika hapa!!!??? hakika nawambieni dhambi hii ya ubaguzi haitatuacha salama. hata kama hiyo hela ilitolewa na mb wa ccm mh Ndugai unaona hilo ni tatizo kweli? kwani wewe ni speaker wa ccm or wa bunge la jamuhuri? tunaipeleka wapi hii nchi? kutwa nzima speaker anashinda kujibu yaliyoandikwa na...
Ndugu zangu wana Forum wenzangu, nimekua nikifuatilia mijadala hapa kumuhusu mh Lissu hapa jukwaani, Inisikitisha sana tena sana mijadala ya vijana wetu. wengi wamediriki kuhoji uzalendo wake na kumwita msaliti wa Taifa. kinachosikitisha wenye hoja za kusema Lissu ni msaliti hawajawahi kuwa na...
Rwanda wenyewe wamebadili katiba yao kutoka miaka 7 mpaka mitano kuanzia 2024. kwa mwendo huu Lissu atakumbukwa sana, ni yeye pekeee angeweza kukemea huu mpango hadharani bila kumung'unya maneno.
UKWELI KUHUSU MANJI
Itz known kwamba ana ugomvi wa muda mrefu na mkuu wa kaya, tangu mkuu wa kaya akiwa waziri wa ujenzi. Ugomvi wao haukua solved hadi jamaa alipotangaza kugombea Urais ndani ya CCM ambapo Manji alimwambia anapoteza muda hawezi kupita. Hata alipopitishwa Manji aligoma...
Sasa si siri tena,kuwa wale waliovamia mkutano wa CUF-Maalim pale Vinna Hotel Mabibo,ni wafuasi wa Profesa Lipumba na zoezi zima liliongozwa na Kambaya toka ofisi za chama Buguruni.
Walioshiriki zoezi hilo,wengi ni wale waliohusika "kuuvuruga" mkutano wa CUF pale Ubungo Plaza wakati Prof Haruna...
Ndugu great thinkers
Nimeona nitumie fursa hii kutoa mawazo yangu na mimi leo, ukiangalia mambo yanayoendelea katika nchi yetu kila mmoja mpenda amani na mwenye mapenzi mema na nchi yake bila kujali itikadi ya chama,dini rika, nk. wengi wetu ukiondoa wazee wetu tumeikuta nchi hii ikiwa mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.