Recent content by Ruta

  1. R

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    Kinachohitajiwa na wanachi si kulisha au kulishwa maneno ila ni mfumo mzuri wa kulitoa taifa letu hapa lilipokwama ili tusonge mbele so mi nafikiri hata kwa Mh mwenyekiti angesema kuwa dr. Slaa anafaa bado si tatizo ni haki yake kama mwanachama kuona mtu gani anafaa.
Back
Top Bottom