Recent content by Russianman

  1. R

    Wizara ya Ardhi: Takribani malalamiko ya Viwanja ya Wananchi yamepatiwa ufumbuzi Dodoma

    Vipi kuhusu mradi wa Kikombo, na wenyewe una Changamoto hii? Maana nilikuwa nilipie leo mahomanyika wazo likaja kufuatilia huku JF, tafadhali nisaidie kujibu
  2. R

    Dondoo za hatifungani za leo - 20yrs Bond 15.49%

    Nyumba gani hiyo unayoweza kununua kiwanja na kujenga kwa milioni 100 tu, afu ikupe return ya 15m kwa mwaka, yaani sawa na almost 1.2M kwa mwezi, eti wajuzi wa mambo, nyumba ya 100m (Kiwanja na Ujenzi) inaweza leta kodi ya 1.2m kwa mwezi?
  3. R

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    hahaaaa....umenifurahisha mkuu, mimi pia namuelewa afu anafika mbele ananichanganya, ila kitu cha msingi nilichoolewa ni kuwa huu uwekezaji kwa treasury bills and bonds ni jambo zuri, lina faida... hii ndo point ya msingi niliyoipata, lakini pia nimeelewa kuwa unaweza kukopa kupitia viapnde...
Back
Top Bottom