Recent content by rupa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja ya bandari ya Bagamoyo lakini siyo kwa masharti na ujanja ujanja ya Wachina, ambao si marafiki wa kweli kama mnavyodhani

    Siyo yeye aliyewasifia wachina openly na kuponda wazungu?
  2. R

    JamiiForums Tanzania ‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

    So wataka mpaka internet ifungwe ndo uamini ni dikteta? Uhuru wa kutoa maoni upo? Waweza elezea why maandamano kibao ya kupongeza serikali yanapewa baraka lakin Yale ya kuipinga hata kwa Aman yanakataliwa? Waweza elezea kwanini yule mkurugenzi wa twaweza kanyanganywa hati ya kusafiria ? Me naona...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri katika mjadala wa wazi juu ya muswada wa vyama vya siasa katika ukumbi wa Kisenga Hall, LAPF Tower

    Kwa uelewa wako Jiwe hajahusika kwenye huu muswada? Please tumia common sense basi.. au na wewe ni mmja wa wale mlioamin yeye alienda kutatua swala la kikokotoo mwanzon hakuhusika Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Korosho: Bwana mkubwa jiuzulu au uombe radhi kwa maamuzi yako yaliyotufikisha hapa tulipo leo hii

    Dah akili zenu nyie watu... Kwahyo hela zetu za Kodi zinatumiwa kuwakomesha kina nape? Na wewe unashangilia?? Hv ushapiga hesabu kama hela iliyotolewa na serikali na idadi ya tani wanazodai kununua kwa shs 3300/ per kilo vinaendana? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya imeimarika sana awamu hii

    Huu upumbavu hua mnaandika kwa sababu gani.. hivi nyie watu mnaishi nje ya uhalisia wa watanzania? Wapi kufungua file 2000? Na hizo billion 1.5 Kila wilaya ni hospital ngap zimejengwa mpaka Leo wakat ni mwaka wa tatu wa awamu hii? Hivi huu upumbavu wa kusifia sifia ni kwa ajili ya Nan? Si Bora...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Carol Ndosi: Dear International Community, Don’t come to us later and say “Had we known, we would have done more”

    Umemwelewa kwel ww? Anasema wasije kusema hawakuambiwa kuna matatizo Tanzania iwapo machafuko yakitokea bdae
  7. R

    JamiiForums Tanzania Why I think he resonates with the silent majority

    Magufuli is a con artist,he doesn't practise what he preaches, scared of criticism, lacks emphathy, clearly potrays favourtism. If he is such a great leader why is he so scared of criticism
  8. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Nimependa ulivyochomekea vyeti feki... rafki yangu kubali umeshindwa tu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Basi why did you read the article in the first place? Kama hauziamin, I find it funny you can read an article just to argue with it rather than keep an open mind
  10. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Kiongozi wangu ni nani umeambiwa me ni mwanachama wa chama chochote cha siasa? So kisa wewe wamtetea Magufuli lazima uwe ni CCM? Wewe uliyemintroduce kikwete kwenye article ambayo haijamtaja ulikua hauamishi magoli
  11. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Tatizo ni nini kutokuelewa maneno au context yaliyotumika,?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Hujanjib lakin ni newssource gan ungekubali kama wangemcritisize magufuli
  13. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Sina ndugu wala jamaa kwenye suala la vyeti feki, nimeongelea mapungufu mbalimbali ya magufuli zipo nying zaid sema nimeona ntaandika jarida, not everyone akiongelea kitu kimemgusa personally wengne hatupendi tu uonevu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Kama hukichukulii serious then why did you comment in the first place? Na pia naomba ntajie hivyo vyombo ambavyo ungevichukulia serious
  15. R

    JamiiForums Tanzania Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist

    Suala la makinikia limeishia wap? Mnatoka kudai trillions of money mnapewa a promise of billions bila kuambiwa due date ya hiyo hela na hauoni that is shaky and unclear
Back
Top Bottom